Kimarrgu (au Kimargu) ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wamarrgu katika jimbo la Northern Territory kwenye kisiwa cha Croker Island. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimarrgu ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarrgu kiko katika kundi kundi la Kimargiki.

Eneo la Kimarrgu (mshale wa kizambarau)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimargu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.