Kimaria (au Kimadiya) ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamaria. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimaria imehesabiwa kuwa watu 165,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaria iko katika kundi la Kigondi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaria (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.