Kimarimanindji

lugha ya asili ya Australia

Kimarimanindji ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamarimanindji katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kimarimanindji kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarimanindji kiko katika kundi la Kibringen.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarimanindji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.