Kimarithiel
lugha ya asili ya Australia
Kimarithiel ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamarithiel katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kimarithiel 15 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarithiel kiko katika kundi la Kibringen.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimarithiel kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimarithiel Ilihifadhiwa 22 Mei 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimarithiel katika Glottolog
- lugha ya Kimarithiel katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimarithiel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |