Kimariyedi

lugha ya asili ya Australia

Kimariyedi ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamariyedi katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 1981, kulikuwa na wasemaji wa Kimariyedi 20 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimariyedi kiko katika kundi la Kibringen.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimariyedi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.