Kimarma ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Bangladesh na Uhindi inayozungumzwa na Wamarma. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimarma nchini Bangladesh imehesabiwa kuwa watu 150,000. Pia kuna wasemaji 30,600 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimarma iko katika kundi la Kingwi-Burma. Wengine huiangalia kuwa sawa na lugha ya Kirakhine nchini Myanmar.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.