Kimartu-Wangka

lugha ya asili ya Australia

Kimartu-Wangka ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wamartu-Wangka katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kimartu-Wangka 880. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimartu-Wangka kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimartu-Wangka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.