Kimasalit ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Sudan inayozungumzwa na Wamasalit. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimasalit nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 60,900. Wengi wao lakini wamekimbia vita nchini Sudan, na idadi ya wasemaji wa Kimasalit nchini Sudan haijulikani kwa uhakika. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasalit iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimasalit kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.