Kimasela-Magharibi

Kimasela-Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamasela kwenye kisiwa cha Masela. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimasela-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 850 tu. Lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasela-Magharibi iko katika kundi la Kibabar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimasela-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.