Kimatal
(Elekezwa kutoka Kimatal (lugha))
Kimatal ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamatal. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimatal imehesabiwa kuwa watu 18,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimatal iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimatal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimatal Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimatal katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mfh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimatal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |