Kimatbat ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamatbat kwenye visiwa vya Misool na Segaf. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimatbat imehesabiwa kuwa watu 1250. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimatbat iko katika kundi la Kiraja-Ampat.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimatbat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.