Kimawa ilikuwa lugha nchini Nigeria iliyozungumzwa na Wamawa. Ni tofauti na lugha ya Kimawa inayozungumzwa nchini Chad. Hakuna wasemaji wa Kimawa wanaobaki, maana yake lugha ya Kimawa imetoweka kabisa. Uainishaji wa lugha ya Kimawa haujulikani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimawa (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.