Kimbelime
Lugha
Kimbelime (au Kiniende) ni lugha ya Kiniger-Kongo Kaskazini Magharibi mwa Benin inayozungumzwa na Wambelime. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbelime iko katika kundi la Kigur.
Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimbelime imehesabiwa kuwa watu 24,500. Kwa sasa Mbelime inazungumzwa na watu takriban 131,000.[1][2] Kuna kamusi ya Mbelime.[3]
Tanbihi
hariri- ↑ Roberts, David; Boyd, Ginger; Merz, Johannes; Vydrin, Valentin (2020). "Quantifying written ambiguities in tone languages: A comparative study of Elip, Mbelime, and Eastern Dan". Language Documentation & Conservation (kwa American English). 14: 108–138. ISSN 1934-5275.
- ↑ Merz, Johannes. 2017. Frictions et inversion de modernité: Portrait de la Com- mune de Cobly dans l’Atacora du Bénin. SIL Electronic Working Papers 2017-001. https://www.sil.org/resources/publications/entry/68776.
- ↑ Sambiéni, N. Bienvenue, Merz, Johannes and Merz, Sharon (eds.). Mbelime – French Dictionary. Preliminary edition. SIL International. 2019
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimbelime kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbelime Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimbelime katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mql
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimbelime kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |