Kimbere ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Gabon inayozungumzwa na Wambere. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbere nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 60,400 na nchini Gabon 45,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbere iko katika kundi la B60.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.