Kimbesa (lugha)
Kimbesa ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wambesa. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimbesa imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbesa iko katika kundi la C60.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimbesa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbesa Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimbesa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/zms
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimbesa (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |