Kimbo (Kamerun)
(Elekezwa kutoka Kimbo (lugha ya Kamerun))
Kimbo ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wambo. Isichanganywe na Kimbo cha Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimbo imehesabiwa kuwa watu 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbo iko katika kundi la A10.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimbo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbo Ilihifadhiwa 7 Mei 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimbo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mbo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimbo (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |