Kimboko
Kimboko ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wamboko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimboko imehesabiwa kuwa watu 27,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimboko iko katika kundi la C30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimboko kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimboko Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimboko katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mdu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimboko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |