Kikamkam

(Elekezwa kutoka Kimbongno)

Kikamkam (au Kimbongno) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wakamkam. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikamkam nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 3000. Idadi ya wasemaji nchini Kamerun haijahesabiwa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamkam iko katika kundi la Kimambiloidi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikamkam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.