Kimbule
Kimbule ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wambule. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimbule imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbule iko katika kundi la A60.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimbule kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbule Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimbuble katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mlb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimbule kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |