Kimbwela
Kimbwela ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wambwela. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimbwela imehesabiwa kuwa watu 222,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbwela iko katika kundi la K20.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimbwela kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbwela Ilihifadhiwa 22 Januari 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimbwela katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mfu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimbwela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |