Kimekwei ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamekwei. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimekwei imehesabiwa kuwa watu 1200; hata hivyo ni kizazi cha wazee hasa, na lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimekwei iko katika kundi la Kinimboran.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimekwei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.