Kimelanau cha Sibu

Kimelanau ya Sibu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wamelanau. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kimelanau ya Sibu nchini Malayasia imehesabiwa kuwa watu 420 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimelanau ya Sibu iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimelanau cha Sibu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.