Kimemoni ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wamemoni. Idadi ya wasemaji wa Kimemoni haijulikani lakini hasa ni watu wazima, yaani lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimemoni kiko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimemoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.