Kimentawai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamentawai kwenye kisiwa cha Mentawai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimentawai imehesabiwa kuwa watu 58,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimentawai iko katika kundi la Kisumatra.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimentawai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.