Kimer
Kimer ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamer. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimer imehesabiwa kuwa watu 85. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimer iko katika kundi la Kimairasi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimer kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimer Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimer katika Glottolog
- lugha ya Kimer kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimer kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |