Kimesme ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wamesme. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimesme imehesabiwa kuwa watu 20,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimesme iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimesme kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.