Kimesmes
Kimesmes ilikuwa lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia iliyozungumzwa na Wagurage. Hakuna wasemaji wa Kimesmes wabakio maana yake lugha imetoweka kabisa. Ilifanana na lugha ya Kigurage cha Sebat Bet na pia na Kiinor. Bado kuna watu wengi ambao wanajihesabu kama Wamesmes lakini huongea Kihadiyya. Imefikiriwa kuwa msemaji wa Kimesmes wa mwisho alifariki takriban mwaka wa 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimesmes iko katika kundi la Kisemitiki.
Viungo vya nje
hariri- makala za OLAC kuhusu Kimesmes Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimesmes katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mys
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimesmes kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |