Kimfumte
(Elekezwa kutoka Kimfumte (lugha))
Kimfumte ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamfumte. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimfumte imehesabiwa kuwa watu 24,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimfumte iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimfumte kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimfumte Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimfumte katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nfu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimfumte kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |