Kimiao cha Huishui ya Kaskazini

Kihuishui ya Kaskazini ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kihuishui ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 70,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihuishui ya Kaskazini iko katika kundi la Kihmongiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimiao cha Huishui ya Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.