Kimiao cha Mashan ya Magharibi
Kimashan ya Magharibi ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimashan ya Magharibi imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimashan ya Magharibi iko katika kundi la Kihmongiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimashan ya Magharibi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimashan ya Magharibi Ilihifadhiwa 8 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimashan ya Magharibi katika Glottolog
- lugha ya Kimashan ya Magharibi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimiao cha Mashan ya Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |