Kimiao cha Qiandong ya Kaskazini

Kiqiandong ya Kaskazini ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiqiandong ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 1,250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiqiandong ya Kaskazini iko katika kundi la Kihmongiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimiao cha Qiandong ya Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.