Kimiao cha Qiandong ya Kusini

Kiqiandong ya Kusini ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiqiandong ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 500,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiqiandong ya Kusini iko katika kundi la Kihmongiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimiao cha Qiandong ya Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.