Kimiju-Mishmi (au Kimiju) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Uchina inayozungumzwa na Wamiju-Mishmi. Nchini Uchina lugha hujulikana kama Kikaman (pia Kigeman) au Kideng. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimiju-Mishmi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 18,000. Pia kuna wasemaji 200 nchini Uhcina (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimiju-Mishmi iko katika kundi la Kimijish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimiju-Mishmi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.