Kimising (au Kimishing) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamising. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimising imehesabiwa kuwa watu 551,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimising iko katika kundi la Kitani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimising kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.