Kimituku (lugha)
lugha ya Kibantu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Kimituku ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamituku. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimituku imehesabiwa kuwa watu 50,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimituku iko katika kundi la D10.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimituku kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimituku Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimituku katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/zmq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimituku (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |