Kimlap ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamlap. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimlap imehesabiwa kuwa watu 300, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimlap iko katika kundi la Kinimboran.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimlap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.