Kimodole ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamodole. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kimodole imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimodole iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimodole kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.