Kimok
Kimok ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai inayozungumzwa na Wamok. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kimok imehesabiwa kuwa watu saba tu, yaani inawezekana kwamba lugha imeshatoweka kabisa sasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimok iko katika kundi la Kipalaungiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimok kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimok Ilihifadhiwa 11 Agosti 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimok katika Glottolog
- lugha ya Kimok kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimok kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |