Kimolbog
Kimolbog ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Ufilipino inayozungumzwa na Wamolbog. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kimolbog nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu 7000. Pia kuna wasemaji 6680 nchini Ufilipino (1990). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimolbog iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimolbog kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimolbog Ilihifadhiwa 8 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimolbog katika Glottolog
- lugha ya Kimolbog kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimolbog kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |