Kimolo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wamolo. Isichanganywe na lugha ya Kimolo inayozungumzwa nchini Kenya. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kimolo imehesabiwa kuwa watu 100 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka, Wamolo wakitumia lugha za Kiarabu na Kiberta badala ya lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimolo iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimolo (Sudan) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.