Kimoma (pia Kikulawi) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamoma kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1979 idadi ya wasemaji wa Kimoma imehesabiwa kuwa watu 5500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoma iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.