Kimon
Kimon ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Myanmar na Uthai inayozungumzwa na Wamon. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimon nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 743,000. Pia kuna wasemaji 108,000 nchini Uthai (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimon iko katika kundi la Kimoniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimon kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimon Ilihifadhiwa 11 Agosti 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimon katika Glottolog
- lugha ya Kimon kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |