Kimono ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamono. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimono imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimono iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimono (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.