Kimonpa cha Tawang
Kimonpa ya Tawang ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Uchina inayozungumzwa na Wamonpa. Idadi ya wasemaji wa Kimonpa ya Tawang nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 8600. Pia kuna wasemaji 1300 nchini Unchina (2000) ambapo huitwa Kimonba ya Cuona. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimonpa ya Tawang iko katika kundi la Kibodish.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimonpa ya Tawang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimonpa ya Tawang Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimonpa ya Tawang katika Glottolog
- lugha ya Kimonpa ya Tawang kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimonpa cha Tawang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |