Kimonpa cha Tawang

(Elekezwa kutoka Kimonpa ya Tawang)

Kimonpa ya Tawang ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Uchina inayozungumzwa na Wamonpa. Idadi ya wasemaji wa Kimonpa ya Tawang nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 8600. Pia kuna wasemaji 1300 nchini Unchina (2000) ambapo huitwa Kimonba ya Cuona. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimonpa ya Tawang iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimonpa cha Tawang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.