Kimor (Kipapua)
Kimor ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamor. Isichanganywe na lugha ya Kimor nchini hiyohiyo ambayo ni lugha ya Kiaustronesia. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kimor imehesabiwa kuwa watu 30 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimor iko katika kundi lake lenyewe la Kimor.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimor kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimor Ilihifadhiwa 27 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimor katika Glottolog
- lugha ya Kimor kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimor (Kipapua) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |