Kimori-Bawah
Kimori-Bawah (pia Kinahina) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamori kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kimori-Bawah imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimori-Bawah iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimori-Bawah kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimori-Bawah Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimori-Bawah katika Glottolog
- lugha ya Kimori-Bawah kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimori-Bawah kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |