Kimorori ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamorori. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kimorori imehesabiwa kuwa watu 50 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimorori iko katika kundi lake lenyewe la Kimorori.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimorori kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.