Kimualang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamualang kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimualang imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimualang iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimualang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.