Kimundani
Kimundani ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamundani. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimundani imehesabiwa kuwa watu 34,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimundani iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kimundani kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimundani Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimundani katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mnf
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimundani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |